Mwanzo 27:36 BHN

36 Esau akasema, “Ndio maana anaitwa Yakobo! Amechukua nafasi yangu mara mbili. Kwanza alichukua haki yangu ya mzaliwa wa kwanza, na sasa amechukua baraka Zangu.” Kisha akamwuliza baba yake, “Je, hukunibakizia baraka yoyote?”

Kusoma sura kamili Mwanzo 27

Mtazamo Mwanzo 27:36 katika mazingira