Mwanzo 27:41 BHN

41 Basi, Esau akamchukia Yakobo kwa sababu ya baraka aliyokuwa amepewa na baba yake. Esau akawaza, “Siku za matanga ya baba zitakapokwisha, ndipo nitakapomuua ndugu yangu Yakobo.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 27

Mtazamo Mwanzo 27:41 katika mazingira