Mwanzo 27:42 BHN

42 Lakini Rebeka alipojua nia ya mwanawe mkubwa, akamwita mwanawe mdogo Yakobo, akamwambia, “Jihadhari, ndugu yako Esau anajifariji kwa kupanga kukuua.

Kusoma sura kamili Mwanzo 27

Mtazamo Mwanzo 27:42 katika mazingira