Mwanzo 28:5 BHN

5 Basi, Isaka akamtuma Yakobo, naye akaenda Padan-aramu kwa Labani, mwana wa Bethueli, Mwaramu, kaka yake Rebeka, mama yao Yakobo na Esau.

Kusoma sura kamili Mwanzo 28

Mtazamo Mwanzo 28:5 katika mazingira