Mwanzo 28:6 BHN

6 Esau alitambua kwamba Isaka alikuwa amembariki Yakobo na kumtuma aende kuoa huko Padan-aramu, na ya kuwa alipombariki, alimkataza asioe mwanamke Mkanaani.

Kusoma sura kamili Mwanzo 28

Mtazamo Mwanzo 28:6 katika mazingira