Mwanzo 29:12 BHN

12 Halafu Yakobo akamjulisha Raheli kuwa yeye ni wa jamaa ya baba yake, na kwamba ni mwana wa Rebeka. Raheli akapiga mbio nyumbani akamwarifu baba yake.

Kusoma sura kamili Mwanzo 29

Mtazamo Mwanzo 29:12 katika mazingira