13 Labani aliposikia habari za Yakobo, mpwa wake, alikwenda mbio kumlaki, akamkumbatia, akambusu, akamkaribisha nyumbani kwake. Yakobo akamsimulia Labani mambo yote yaliyotokea.
Kusoma sura kamili Mwanzo 29
Mtazamo Mwanzo 29:13 katika mazingira