Mwanzo 29:2 BHN

2 Siku moja akaona kisima mbugani, na kando yake makundi matatu ya kondoo wamepumzika. Kondoo walikuwa wananyweshwa kutoka kisima hicho kilichokuwa kimefunikwa kwa jiwe kubwa.

Kusoma sura kamili Mwanzo 29

Mtazamo Mwanzo 29:2 katika mazingira