Mwanzo 29:3 BHN

3 Kwa kawaida, makundi yote ya kondoo yalipokusanyika, wachungaji walivingirisha hilo jiwe kwa pamoja toka kisimani na kuwanywesha kondoo. Halafu walikifunika tena kisima kwa jiwe hilo.

Kusoma sura kamili Mwanzo 29

Mtazamo Mwanzo 29:3 katika mazingira