Mwanzo 29:33 BHN

33 Lea akapata mimba tena, akajifungua mtoto wa kiume, akamwita Simeoni, akisema, “Mwenyezi-Mungu amenipa mtoto mwingine wa kiume kwa sababu amesikia jinsi ninavyochukiwa.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 29

Mtazamo Mwanzo 29:33 katika mazingira