Mwanzo 29:34 BHN

34 Akapata mimba mara nyingine, akajifungua mtoto wa kiume, akamwita Lawi, akisema, “Wakati huu mume wangu atajiunga nami, kwani nimemzalia watoto watatu wa kiume.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 29

Mtazamo Mwanzo 29:34 katika mazingira