11 Mwenyezi-Mungu akamwuliza, “Nani aliyekuambia kwamba uko uchi? Je, umekula tunda la mti nililokuamuru usile?”
Kusoma sura kamili Mwanzo 3
Mtazamo Mwanzo 3:11 katika mazingira