Mwanzo 3:12 BHN

12 Huyo mwanamume akajibu, “Mwanamke uliyenipa akae pamoja nami ndiye aliyenipa tunda la mti huo, nami nikala.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 3

Mtazamo Mwanzo 3:12 katika mazingira