Mwanzo 30:13 BHN

13 Lea akasema, “Bahati njema! Sasa wanawake wataniita heri.” Kwa hiyo akamwita mtoto huyo Asheri.

Kusoma sura kamili Mwanzo 30

Mtazamo Mwanzo 30:13 katika mazingira