Mwanzo 30:14 BHN

14 Ikawa wakati wa mavuno ya ngano, Reubeni alikwenda shambani na huko akapata tunguja, akamletea mama yake Lea. Raheli akamwambia Lea, “Tafadhali, nipe baadhi ya tunguja za mwanao.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 30

Mtazamo Mwanzo 30:14 katika mazingira