Mwanzo 30:15 BHN

15 Lakini Lea akamsemea kwa ukali, “Je, unadhani ni jambo dogo kuninyanganya mume wangu, na sasa unataka kuchukua tunguja za mwanangu?” Raheli akamjibu, “Ikiwa utanipa tunguja za mwanao, Yakobo atalala kwako leo.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 30

Mtazamo Mwanzo 30:15 katika mazingira