Mwanzo 30:16 BHN

16 Basi, jioni Yakobo alipokuwa anarudi toka shambani, Lea alitoka kwenda kumlaki, akamwambia, “Leo huna budi kulala nami, kwani nimekuajiri kwa tunguja za mwanangu.” Hivyo Yakobo akalala kwa Lea usiku huo.

Kusoma sura kamili Mwanzo 30

Mtazamo Mwanzo 30:16 katika mazingira