Mwanzo 30:31 BHN

31 Labani akamwuliza, “Nikupatie nini?” Yakobo akamjibu, “Hutanipatia chochote. Nitaendelea kuwatunza wanyama wako ikiwa utanifanyia jambo hili:

Kusoma sura kamili Mwanzo 30

Mtazamo Mwanzo 30:31 katika mazingira