Mwanzo 30:32 BHN

32 Niruhusu nipite kati ya wanyama wako wote leo, nitenge katika kundi kila kondoo mwenye madoadoa na mabakamabaka, kila kondoo mweusi, na mbuzi walio na madoadoa na mabakamabaka. Huo ndio utakaokuwa ujira wangu.

Kusoma sura kamili Mwanzo 30

Mtazamo Mwanzo 30:32 katika mazingira