Mwanzo 30:41 BHN

41 Ikawa kila yalipofika majira ya wanyama wenye afya kuchukua mimba, Yakobo aliziweka zile fito mbele yao katika mabirika ya kunyweshea maji, ili wachukue mimba penye fito hizo.

Kusoma sura kamili Mwanzo 30

Mtazamo Mwanzo 30:41 katika mazingira