Mwanzo 30:42 BHN

42 Lakini hakuziweka fito hizo mbele ya wanyama dhaifu walipochukua mimba. Punde si punde, wanyama dhaifu wakawa wa Labani, na wenye afya wakawa wa Yakobo.

Kusoma sura kamili Mwanzo 30

Mtazamo Mwanzo 30:42 katika mazingira