Mwanzo 31:12 BHN

12 Naye akaniambia, ‘Tazama mabeberu wote wanaowapanda majike wana milia, madoadoa na mabaka mabaka. Jambo hili limekuwa hivyo kwa sababu nimeona alivyokutendea Labani.

Kusoma sura kamili Mwanzo 31

Mtazamo Mwanzo 31:12 katika mazingira