Mwanzo 31:13 BHN

13 Mimi ndimi yule Mungu aliyekutokea kule Betheli, mahali pale ulipoweka lile jiwe wakfu kwa kulimiminia mafuta na ambapo uliniwekea nadhiri. Sasa ondoka katika nchi hii urudi katika nchi yako.’”

Kusoma sura kamili Mwanzo 31

Mtazamo Mwanzo 31:13 katika mazingira