Mwanzo 31:23 BHN

23 Basi, Labani akawachukua ndugu zake, akamfuata Yakobo kwa muda wa siku saba, akamkuta milimani, nchini Gileadi.

Kusoma sura kamili Mwanzo 31

Mtazamo Mwanzo 31:23 katika mazingira