Mwanzo 31:24 BHN

24 Lakini usiku, Mungu akamtokea Labani, Mwaramu, katika ndoto, akamwambia, “Jihadhari! Usimwambie Yakobo neno lolote lile, jema au baya.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 31

Mtazamo Mwanzo 31:24 katika mazingira