Mwanzo 31:25 BHN

25 Basi, Labani akamfikia Yakobo. Wakati huo Yakobo alikuwa amepiga kambi yake milimani. Labani naye, pamoja na ndugu zake, akapiga kambi yake kwenye milima ya Gileadi.

Kusoma sura kamili Mwanzo 31

Mtazamo Mwanzo 31:25 katika mazingira