Mwanzo 31:26 BHN

26 Ndipo Labani akamwambia Yakobo, “Umefanya nini? Mbona umenidanganya, ukawachukua binti zangu kama mateka vitani?

Kusoma sura kamili Mwanzo 31

Mtazamo Mwanzo 31:26 katika mazingira