Mwanzo 31:29 BHN

29 Nina uwezo wa kukudhuru; lakini Mungu wa baba yako alinitokea usiku wa kuamkia leo, akanitahadharisha akisema, ‘Jihadhari! Usimwambie Yakobo neno lolote lile, jema au baya’.

Kusoma sura kamili Mwanzo 31

Mtazamo Mwanzo 31:29 katika mazingira