Mwanzo 31:30 BHN

30 Najua ulitoroka kwa sababu ya hamu kubwa ya kurudi nyumbani kwa baba yako. Lakini kwa nini uliiba vinyago vya miungu yangu?”

Kusoma sura kamili Mwanzo 31

Mtazamo Mwanzo 31:30 katika mazingira