Mwanzo 31:32 BHN

32 Lakini utakayempata na vinyago vya miungu yako asiishi! Mbele ya hawa ndugu zetu, onesha chochote kilicho chako, ukichukue.” Yakobo hakujua kwamba Raheli alikuwa ameiba vinyago vya miungu ya Labani.

Kusoma sura kamili Mwanzo 31

Mtazamo Mwanzo 31:32 katika mazingira