Mwanzo 31:33 BHN

33 Basi, Labani akatafuta vinyago hivyo vya miungu yake katika hema la Yakobo, la Lea na la wale wajakazi wawili; lakini hakuvipata. Akatoka katika hema la Lea na kuingia hema la Raheli.

Kusoma sura kamili Mwanzo 31

Mtazamo Mwanzo 31:33 katika mazingira