Mwanzo 31:34 BHN

34 Raheli alikuwa amevichukua hivyo vinyago, akavificha chini ya matandiko ya ngamia na kuketi juu yake. Labani akavitafuta katika hema lote; lakini hakuvipata.

Kusoma sura kamili Mwanzo 31

Mtazamo Mwanzo 31:34 katika mazingira