53 Mungu wa Abrahamu na Mungu wa Nahori, ataamua kati yetu.” Basi, Yakobo akaapa kwa Mungu ambaye alimfanya baba yake Isaka, kutetemeka.
Kusoma sura kamili Mwanzo 31
Mtazamo Mwanzo 31:53 katika mazingira