Mwanzo 31:54 BHN

54 Kisha akatoa tambiko huko mlimani na kuwaalika ndugu zake wale chakula. Baada ya kula, wakabaki huko usiku kucha.

Kusoma sura kamili Mwanzo 31

Mtazamo Mwanzo 31:54 katika mazingira