Mwanzo 31:55 BHN

55 Asubuhi na mapema Labani akaamka, akawabusu wajukuu na binti zake, akawabariki. Kisha akaondoka, akarudi nyumbani.

Kusoma sura kamili Mwanzo 31

Mtazamo Mwanzo 31:55 katika mazingira