Mwanzo 33:10 BHN

10 Yakobo akamwambia, “La! Kama kweli umekubali kunipokea, basi, nakusihi uipokee zawadi yangu. Hakika, kuuona uso wako ni kama kuuona uso wa Mungu, kwa vile ulivyonipokea kwa wema mkubwa.

Kusoma sura kamili Mwanzo 33

Mtazamo Mwanzo 33:10 katika mazingira