Mwanzo 33:11 BHN

11 Basi, nakuomba uikubali zawadi niliyokuletea, kwa sababu hata mimi pia Mungu amenineemesha, nami ninayo mali nyingi.” Ndivyo Yakobo alivyomshawishi Esau, naye akaipokea zawadi yake.

Kusoma sura kamili Mwanzo 33

Mtazamo Mwanzo 33:11 katika mazingira