Mwanzo 33:2 BHN

2 Akawaweka wajakazi na watoto wao mbele, kisha Lea na watoto wake, na nyuma kabisa wakafuata Raheli na mwanawe Yosefu.

Kusoma sura kamili Mwanzo 33

Mtazamo Mwanzo 33:2 katika mazingira