4 Basi, Esau akaenda mbio kumlaki Yakobo, akamkumbatia na kumbusu shingoni, na wote wawili wakalia.
Kusoma sura kamili Mwanzo 33
Mtazamo Mwanzo 33:4 katika mazingira