5 Esau alipotazama na kuwaona wale kina mama na watoto, akauliza, “Ni kina nani hawa ulio nao?” Yakobo akamjibu, “Hawa ni watoto ambao Mungu, kwa neema yake, amenijalia mimi mtumishi wako.”
Kusoma sura kamili Mwanzo 33
Mtazamo Mwanzo 33:5 katika mazingira