21 “Watu hawa ni marafiki zetu. Tuwakaribishe waishi nchini mwetu na kufanya biashara, kwa sababu tunayo nchi ya kututosha sisi na wao pia; kisha tutaoa binti zao na kuwaoza binti zetu.
Kusoma sura kamili Mwanzo 34
Mtazamo Mwanzo 34:21 katika mazingira