Mwanzo 34:22 BHN

22 Lakini wao watakubali kuishi nasi na tutakuwa jamaa moja kwa sharti hili: Kwamba tutamtahiri kila mwanamume miongoni mwetu kama wao walivyotahiriwa.

Kusoma sura kamili Mwanzo 34

Mtazamo Mwanzo 34:22 katika mazingira