Mwanzo 34:23 BHN

23 Je, hamwoni kwamba mifugo yao na mali yao yote itakuwa mali yetu? Haya, tukubaliane nao ili wakae pamoja nasi.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 34

Mtazamo Mwanzo 34:23 katika mazingira