Mwanzo 34:24 BHN

24 Wanaume wote waliokusanyika penye lango la mji huo wakakubaliana na Hamori na mwanawe Shekemu. Kisha, wanaume wote wakatahiriwa.

Kusoma sura kamili Mwanzo 34

Mtazamo Mwanzo 34:24 katika mazingira