Mwanzo 35:1 BHN

1 Siku moja, Mungu alimwambia Yakobo, “Anza safari, uende kuishi Betheli na kunijengea humo mahali pa kunitambikia mimi Mungu niliyekutokea wakati ulipomkimbia kaka yako Esau.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 35

Mtazamo Mwanzo 35:1 katika mazingira