Mwanzo 35:2 BHN

2 Basi, Yakobo akawaambia jamaa yake na wote aliokuwa nao, “Tupilieni mbali sanamu za miungu ya kigeni mlizo nazo, mjitakase na kubadili mavazi yenu.

Kusoma sura kamili Mwanzo 35

Mtazamo Mwanzo 35:2 katika mazingira