3 Kisha, tutakwenda Betheli ili nimjengee mahali pa kumtambikia Mungu aliyenisaidia siku ya taabu, Mungu ambaye amekuwa nami popote nilipokwenda.”
Kusoma sura kamili Mwanzo 35
Mtazamo Mwanzo 35:3 katika mazingira