Mwanzo 35:26 BHN

26 Na watoto wa kiume waliozaliwa na Zilpa, mjakazi wa Lea, walikuwa Gadi na Asheri. Hao ndio watoto wa kiume wa Yakobo, aliowazaa alipokuwa kule Padan-aramu.

Kusoma sura kamili Mwanzo 35

Mtazamo Mwanzo 35:26 katika mazingira