Mwanzo 35:27 BHN

27 Yakobo aliondoka akaenda Mamre kwa baba yake Isaka, huko Kiriath-arba, yaani Hebroni, mahali ambapo Abrahamu na Isaka walikaa kama wageni.

Kusoma sura kamili Mwanzo 35

Mtazamo Mwanzo 35:27 katika mazingira