Mwanzo 36:5 BHN

5 Oholibama alimzalia Yeushi, Yalamu na Kora. Hao ndio watoto wa kiume wa Esau ambao wake zake walimzalia alipokaa katika nchi ya Kanaani.

Kusoma sura kamili Mwanzo 36

Mtazamo Mwanzo 36:5 katika mazingira